• Kenya
  • Rasilimali
  • Kujenga Uwezo
  • Mafunzo ya Biashara
  • Mafunzo ya Biashara

Mwongozo wa habari wa haraka

Kulingana na Fanikisha Initiative , mafunzo ya biashara kwa wafanyabiashara wanawake yanaongoza:

  • Kuimarishwa kwa matarajio ya wanawake kusonga mbele na kufaulu katika juhudi zao.
  • Kuongezeka kwa idadi ya wanawake katika ngazi za kufanya maamuzi ambayo ni uwezeshaji wa rasilimali.
  • Kuongezeka kwa ufahamu katika ngazi ya biashara, serikali na jamii ili kuimarisha uwezeshaji wa wanawake.
  • Kuongezeka kwa uwezo na motisha ya wanawake kuchukua majukumu mapya na yenye changamoto katika viwango vya juu pamoja na bidii ya kufanya kazi kwa njia ya kuridhisha.
  • Uundaji wa mifano ya kuigwa ambayo wanawake wengine huitazama kwa minajili ya viwango na maendeleo/malengo ya ukuaji.

Mafunzo ya Biashara nchini Kenya

Madhumuni ya mafunzo ya biashara ni kuboresha utendaji wa biashara kwa biashara zinazoendeshwa na wanawake. Hii ina maana kwamba

SME zinazoongozwa na wanawake huwa na faida zaidi na kuathiri ubora wa maisha sio tu kwa wanawake lakini familia zao pia kutokana na upatikanaji wa mapato ya juu ya matumizi.
Mashirika mengi nchini Kenya yanawekeza katika kuwajengea uwezo wafanyabiashara wanawake ili kusaidia kutatua suala la kutofanya kazi vizuri kwa biashara zinazomilikiwa na wanawake, hasa kutokana na upatikanaji mdogo wa mtaji na ukosefu wa ujuzi.
angle-left Taasisi ya Mafunzo ya Biashara ya Kenya (KIBT)

Taasisi ya Mafunzo ya Biashara ya Kenya (KIBT)

Maelezo

Taasisi ilianzishwa mwaka 1966 kwa msaada wa ILO/UNDP kwa jina la Management Training and Advisory Centre (MT & AC) wakati huo chini ya Wizara ya Kazi. Madhumuni ya Kituo hicho yalikuwa kutoa mafunzo na kuwaendeleza wasimamizi na wajasiriamali wazawa katika usimamizi wa vitendo na ujuzi wa biashara.

Soma zaidi;

Maelezo ya mawasiliano

Mkurugenzi
Taasisi ya Mafunzo ya Biashara ya Kenya
Sanduku la Posta 39475-00623
Nairobi, Kenya.

Simu: 020-6829120/1/2/3

Barua pepe;

Huduma za ziada za manufaa kwa wajasiriamali wanawake

Mpango wa Usimamizi wa Biashara Ndogo kwa Wajasiriamali Wanawake.